• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 19, 2020

  AUBAMEYANG AIPELEKA ARSENAL FAINALI KOMBE LA FA

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao yote dakika za 19 na 71 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Nusu Fanaili ya Kombe la FA England usiku wa Jumamosi Uwanja wa Wembley, London. Arsenal inakwenda fanali ambako itakutana na mshindi wa Nusu Fanal ya pili kesho kati ya Chelsea na Manchester United 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG AIPELEKA ARSENAL FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top