• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 22, 2020

  RASHFORD ANAVYOJIFUA KIVYAKE KUJIWEKA FITI ZAIDI MAN UNITED

  Mshambuliaji wa kimataifa wa England na Manchester United, Marcus Rashord akifanya mazoezi binafsi nyumbani kwake kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya pamoja kwa sababu ya mlipuko wa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASHFORD ANAVYOJIFUA KIVYAKE KUJIWEKA FITI ZAIDI MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top