• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 24, 2020

  RONALDO HAPUMZIKI, PAMOJA NA CORONA YEYE NA MAZOEZI TU

  Pamoja na wanamichezo wengi kujipa mapumziko kipindi hiki cha mlipuko wa virusi vya corona, mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameposti picha akiwa gym anafanya mazoezi na ndugu na jamaa zake. Wengine kutoka kushoto ni Rodrigo Pereira, mpwa wake Alicia, dada yake Katia, Eleanor Caires na dada yake mwingine, Elma 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO HAPUMZIKI, PAMOJA NA CORONA YEYE NA MAZOEZI TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top