• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 22, 2019

  NI LIVERPOOL KLABU BINGWA YA DUNIA BAADA YA KUIPIGA FLAMENGO 1-0

  Roberto Firmino akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao pekee dakika ya 99 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Flamengo ya kwao, Brazil kwenye fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA leo Uwanja wa KImataifa wa Khalifa mjini Doha, Qatar katika mchezo uliodumu kwa dakika 120 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NI LIVERPOOL KLABU BINGWA YA DUNIA BAADA YA KUIPIGA FLAMENGO 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top