• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 19, 2019

  FIRMINO AIPELEKA LIVERPOOL FAINALI KLABU BINGWA YA DUNIA

  Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwachapa Monterrey 2-1 katika mchezo wa Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA usiku wa jana Uwanja wa Kimataifa wa Khalifa mjini Doha, Qatar. Liverpool ilitangulia kwa bao la Naby Keita dakika ya 11, kabla ya Rogelio Funes Mori kuisawazishia Monterrey dakika ya 14 na sasa itamenyana na Flamengo katika fainali ambayo imeitoa Al Hilal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FIRMINO AIPELEKA LIVERPOOL FAINALI KLABU BINGWA YA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top