• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 15, 2019

  KANE APIGA HAT TRICK ENGLAND YAICHAPA MONTENEGRO 7-0

  Mshambuliaji Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia England mabao matatu dakika za 18, 24 na 37 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Montenegro usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2020. Mabao mengine ya Three Lions katika mchezo wake wa 1,000 wa kimataifa yalifungwa na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 11, Marcus Rashford dakika ya 30, Aleksandar  Sofranac aliyejifunga dakika ya 66 na Tammy Abraham dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANE APIGA HAT TRICK ENGLAND YAICHAPA MONTENEGRO 7-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top