• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 10, 2019

  GNABRY AFUNGA UJERUMANI YATOA SARE 2-2 NA ARGENTINA

  Serge Gnabry akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza dakika ya 15 katika sare ya 2-2 na Argentina usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao la pili la Ujerumani lilifungwa na Kai Havertz dakika ya 22, wakati mabao ya Argentina yamefungwa na Lucas Alario dakika ya 66 na Lucas Ocampos dakika ya 85 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GNABRY AFUNGA UJERUMANI YATOA SARE 2-2 NA ARGENTINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top