• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 06, 2019

  TRAORE APIGA ZOTE WOLVES YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD

  Winga wa kimataifa wa Hispania mwenye asili ya Mali, Adama Traore akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Wolverhampton Wanderers dakika za 80 na 90 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TRAORE APIGA ZOTE WOLVES YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top