// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TFF YAENDELEA KULAMBA 'MATAPISHI' YA YANGA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TFF YAENDELEA KULAMBA 'MATAPISHI' YA YANGA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 05, 2015

    TFF YAENDELEA KULAMBA 'MATAPISHI' YA YANGA SC

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemteua Baraka Kizuguto kuwa Ofisa Habari kuanzia Februari 1 mwaka huu, nafasi ambayo imeachwa wazi na Boniface Wambura aliyehamia kwenye Ukurugenzi wa Mashindano.
    Kabla ya uteuzi huo, Kizuguto alikuwa Kaimu Ofisa Habari wa klabu ya Yanga SC, lakini hakuongezewa Mkataba kutokana na ufanisi mdogo.
    Kizuguto anafuata nyayo za aliyekuwa Katibu wa zamani wa Yanga SC, Selestine Mwesigwa aliyeingia TFF baada ya kuondolewa katika klabu hiyo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TFF YAENDELEA KULAMBA 'MATAPISHI' YA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top