• HABARI MPYA

    Saturday, February 08, 2014

    PELLEGRINI AWA KOCHA BORA TENA LIGI KUU ENGLAND,ADAM JOHONSON NDIYE MCHEZAJI MKALI KULIKO WOTE

    KOCHA Manuel Pellegrini ameshina tuzo ya kocha bora wa mwezi Ligi Kuu ya England, baada ya Manchester City kuweka rekodi nzuri Januari ikishinda mechi nne kati ya nne.
    Huu ni mwezi wa pili mfululizo Pellegrini anashinda tuzo hiyo - na mara ya kwanza kwa kocha mmoja kushinda mara mbili mfululizo tangu Carlo Ancelotti afanye hivyo akiwa kocha wa Chelsea mwaka 2011.
    Nyota wa Sunderland, Adam Johnson ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu baada ya kazi nzuri aliyoifanya mwezi uliopita akifunga mabao matano. 
    Mfululizo: Kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi wa Ligi Kuu EnglandTop player: Sunderland's Adam Johnson won the Player of the Month award after scoring five times during January
    Kiboko yao: Nyota wa Sunderland, Adam Johnson ameshinda mchezaji bora wa mwezi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PELLEGRINI AWA KOCHA BORA TENA LIGI KUU ENGLAND,ADAM JOHONSON NDIYE MCHEZAJI MKALI KULIKO WOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top