Getty Images
2012-05-05
Nahodha John Terry wa Chelsea akishangilia na wachezaji wenzake ushindi wa Kombe la FA, baada ya kuifunga 2-1 kwenye Uwanja wa Wembley jioni hii.
Getty Images
2012-05-05
Didier Drogba (wa pili kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake bao lake katika ushindi wa 2-1 katika fainali ya Kombe la FA dhidi ya Liverpool uliowapa Kombe hilo Uwanja wa Wembley, London, England jioni hii.
| Andy Carroll wa Liverpool akishangilia bao la kufutia machozi wake timu yake ikifungwa 2-1 na Chelsea katika fainali ya Kombe Uwanja wa Wembley, London, England jioni hii. |
Getty Images
2012-05-05
Drogba akishangilia bao lake la ushindi wa 2-1 katika fainali ya Kombe la FA dhidi ya Liverpool uliowapa Kombe hilo Uwanja wa Wembley, London, England jioni hii.
Getty Images
2012-05-05
Kocha wa Chelsea, Mtaliano Roberto Di Matteo akishangilia ushindi wa 2-1 katika fainali ya Kombe la FA dhidi ya Liverpool uliowapa Kombe hilo Uwanja wa Wembley, London, England jioni hii.
Getty Images
2012-05-05
King Didier Yves 'Tito' Drogba.


.png)
0 comments:
Post a Comment