MCHUANO ni mkali katika ya Ligi Vijana Kundi A, Yanga SC wakiwa wamefungana kwa pointi na Ruvu Shooting na Azam FC wote 11 baada ya mechi saba.
Kundi B Mtibwa Sugar wanangoza kwa pointi zao 16, wakifuatiwa na Simba SC pointi 13 na Tanzania Prisons 11, wakati Kundi C Kagera Sugar pointi 18, JKT Tanzania 9 sawa na Mwadui FC.

0 comments:
Post a Comment