BAO pekee la Hussein El Shahat dakika ya 30 jana liliiwezesha Al Ahly SC ya Misri kuwachapa wenyeji, Al Duhail SC 1-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA Uwanja Ahmed bin Ali Jijini Al Rayyan, Qatar.
Sasa mabingwa hao wa Afrika, Al Ahly watamenyana na mabingwa wa Bayern Munich ya Ujerumani katika Nusu Fainali Jumapili hapo hapo Uwanja wa Ahmed bin Ali.
0 comments:
Post a Comment