• HABARI MPYA

    Monday, November 09, 2020

    AISHA MASAKA MCHEZAJI BORA TANZANIA IKIICHAPA AFRIKA KUSINI 6-1 MICHUANO YA COSAFA


    Nyota wa timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Aisha Masaka jana alichaguliwa Mchezaji Bora wa mechi dhidi ya Afrika Kusini ya michuano ya COSAFA inayoendelea Nelson Mandela Bay

    Katika mechi hiyo ambayo Tanzania ilishinda mabao 6-1, Aisha alifunga mabao matano
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AISHA MASAKA MCHEZAJI BORA TANZANIA IKIICHAPA AFRIKA KUSINI 6-1 MICHUANO YA COSAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top