• HABARI MPYA

    Saturday, October 03, 2020

    SAMATTA APIGA ZOTE MBILI FENERBAHÇE YAICHAPA FATIH KARAGUMRUK 2-1 LIGI KUU YA UTURUKI LEO


    Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akishangilia baada ya kufunga mabao ya timu yake, Fenerbahçe katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Fatih Karagumruk kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA APIGA ZOTE MBILI FENERBAHÇE YAICHAPA FATIH KARAGUMRUK 2-1 LIGI KUU YA UTURUKI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top