• HABARI MPYA

    Sunday, October 04, 2020

    NICOLAS PEPE NA BUKAYO SAKA WAFUNGIA ARSENAL YASHINDA 2-1


    Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akimpongeza Nicolas Pepe baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 64, kufuatia Bukayo Saka kufunga la kwanza dakika ya 62 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sheffield United ambayo bao lake lilifungwa na David McGoldrick dakika ya 83 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London leo
     


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NICOLAS PEPE NA BUKAYO SAKA WAFUNGIA ARSENAL YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top