KOCHA Mrundi, Ettienne Ndayiragijje ameita wachezaji 25 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Burundi Oktoba 11, Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Mabingwa wa Tanzania kwa mwaka wa tatu mfululizo sasa, Simba wameendelea kuwa na mchango mzuri kwenye kikosi hicho, wakitoa wachezaji saba, wakati watani wao wa jadi, Yanga wana wachezaji wanne tu kwenye kikosi hicho.
0 comments:
Post a Comment