• HABARI MPYA

    Wednesday, October 07, 2020

    KAPTENI WA TAIFA STARS MBWANA SAMATTA ALIVYOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE MAZOEZINI LEO

    Mshambuliaji wa Fenerbahce ya Uturuki na Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwaongoza wachezaji wenzake mazoezini Uwanja wa Benjamin Mkapa leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi Jumapili
    Beki wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto akiwa mazoezini Taifa Stars kujiandaa kuwakamili Int'hamba Murugamba

    Kipa wa Yanga SC, Netacha Mnata (kulia) akiwa mazoezini Taifa Stars leo asubuhi Uwanja wa Benjamin Mkapa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAPTENI WA TAIFA STARS MBWANA SAMATTA ALIVYOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE MAZOEZINI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top