Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, Mhandisi Hersi Said (kulia) ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC akiwa na kiungo wa ulinzi, Mukoko Tonombe baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili leo kujiunga na klabu hiyo leo kwao, Jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akitokea AS Vita ya huko
Mhandisi Hersi Said (katikati) akiwa na Mukoko Tonombe (kushoto) na winga wa kulia, Tuisila Kisinda (kulia) ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga leo kutoka AS Vita ya Kinshasa
Kurtley Beale's lawyer claims rape accuser had 'obvious' motive to lie and
trial was doomed to fail
-
It took a jury just two hours to reach its verdict, rejecting the woman's
account Beale forced her to perform oral sex in a toilet cubicle at Bondi's
Beach...
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment