• HABARI MPYA

    Wednesday, August 12, 2020

    TOTTENHAM YAMSAJILI BEKI MDENMARK WA SOUTHAMPTON

    TOTTENHAM imemsajili kiungo Mdenmark, Pierre-Emile Hojbjerg kwa dau la Pauni Milioni 20 kutoka Southampton akisaini mkataba wa miaka mitano na atakuwa anavaa jezi No 5 iliyoachwa wazi na Jan Vertonghen PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TOTTENHAM YAMSAJILI BEKI MDENMARK WA SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top