• HABARI MPYA

  Sunday, August 16, 2020

  SIMBA SC YAMTAMBULISHA RASMI BEKI MPYA WA KATI, AME IBRAHIM KUTOKA COASTAL UNION YA TANGA

  KLABU ya Simba SC imemtambulisha rasmi beki wa kati, Mzanzibar Ame Ibrahim kwa mchezaji wake mpya akijiunga na Wekundu hao wa Msimbazi kutoka Coastal Union ya Tanga 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAMTAMBULISHA RASMI BEKI MPYA WA KATI, AME IBRAHIM KUTOKA COASTAL UNION YA TANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top