• HABARI MPYA

    Friday, August 14, 2020

    NONGA AJIUNGA NA GWAMBINA ILIYOPANDA LIGI KUU BAADA YA LIPULI KUSHUKA DARAJA

    MSHAMBULIAJI mkongwe, Paul Nonga amesaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na Gwambina FC ya Misungwi mkaoni Mwanza ambayo imepanda Ligi Kuu msimu huu akitokea Lipuli FC ya Iringa iliyoshuka. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NONGA AJIUNGA NA GWAMBINA ILIYOPANDA LIGI KUU BAADA YA LIPULI KUSHUKA DARAJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top