• HABARI MPYA

    Sunday, August 02, 2020

    MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA TFF, ABDULAZIZ MOHAMED ALIVYOONGOZA KIKAO JANA SUMBAWANGA

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mohamed Abdulaziz akizungumza katika kikao baina ya Bodi hiyo na viongozi wakuu wa shirikisho jana Sumbawanaga mkoani Rukwa. Kushoto ni Dk Tulia Ackson na kulia Mzee Stephen Mashishanga, Wajumbe wa Bodi hiyo.
    Hapa ni Rais wa TFF, Wallace Karia (kushoto) na Katbu wake, Wilfred Kidau akiongoza kikao cha Kamati ya Utendaji ya shirikisho hilo leo Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA TFF, ABDULAZIZ MOHAMED ALIVYOONGOZA KIKAO JANA SUMBAWANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top