• HABARI MPYA

  Monday, August 17, 2020

  MOHAMED 'MO' IBRAHIM AJIUNGA NA KAGERA SUGAR YA BUKOBA BAADA YA KUMALIZA MKATABA WAKE SIMBA SC

  KIUNGO mshambuliaji Mohamed Ibrahim 'Mo' amejiunga na klabu ya Kagera Sugar ya Bukoba kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake Simba SC ya Dares Salaam. Anakutana tena na kocha Mecky Mexime ambaye walikuwa naye Mtibwa Sugar ya Morogoro.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOHAMED 'MO' IBRAHIM AJIUNGA NA KAGERA SUGAR YA BUKOBA BAADA YA KUMALIZA MKATABA WAKE SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top