KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama leo amekabidhi msaada wa Sh. Milioni 1 katika kituo cha watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni, Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekeleza wa ahadi yake aliyoitoa jana wakati anakabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Simba iliyotolewa na mdhamini mkuu wa klabu, kampuni ya Sportpesa Tanzania


0 comments:
Post a Comment