Lionel Messi akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Barcelona bao la pili dakika ya 23 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Napoli kwenye mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yalifungwa na Clement Lenglet dakika ya 10 na Luis Suarez kwa penalti dakika ya 45 na ushei, wakati la Napoli lilifungwa na Lorenzo Insigne dakika ya 45 na ushei kwa penalti pia na sasa Barca inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-2 kufuatia sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza na itamenyana na Bayern Munich katika Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Footballers due to play March internationals in countries on PM's quarantine list will NOT be exempt
-
Premier League footballers selected for World Cup qualifiers in Portugal or
South America will be forced to quarantine for 10 days when they return to
Engl...
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment