• HABARI MPYA

    Friday, July 03, 2020

    SHEFFIELD YAIKUNG'UTA TOTTENHAM HOTSPUR 3-1 BRAMALL LANE

    Sheffield United wamepata ushindi wa kwanza tangu kurejea kwa Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Tottenham Hotspur 3-1 usiku wa leo Uwanja wa Bramall Lane. Mabao ya Sheffield United yamefungwa na Sander Berge dakika ya 31, Lys Mousset dakika ya 69 na Oliver McBurnie dakika ya 84, wakati la Spurs limefungwa na Harry Kane dakika ya 90 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHEFFIELD YAIKUNG'UTA TOTTENHAM HOTSPUR 3-1 BRAMALL LANE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top