Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao yote dakika za 19 na 71 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Nusu Fanaili ya Kombe la FA England usiku wa Jumamosi Uwanja wa Wembley, London. Arsenal inakwenda fanali ambako itakutana na mshindi wa Nusu Fanal ya pili kesho kati ya Chelsea na Manchester United PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man United remain in talks with 'many clubs' over loans for Jesse Lingard and Brandon Williams
-
CHRIS WHEELER: United are open to keeping both of them for the rest of the
season due to the unique demands of the pandemic, and Solskjaer says any
move mu...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment