• HABARI MPYA

    Wednesday, July 01, 2020

    AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA NORWICH CITY 4-0

    Nahodha wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 33 na 67 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Norwich City, mabao mengine yakifungwa na Granit Xhaka dakika ya 37 na Cedric Soares dakika ya 81 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Emirates. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 32 na kupanda kutoka nafasi ya 11 hadi ya saba sasa ikizidiwa pointi sita na Wolverhampton Wanderers 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA NORWICH CITY 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top