• HABARI MPYA

    Wednesday, February 12, 2020

    TWIGA STARS YAENDA TUNSIA KUSHIRIKI MICHUANO MAALUM YA WANAWAKE, UNAF ILIYOANDALIWA NA WENYEJI

    Kikosi cha timu ya taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars kimeondoka usiku wa kuamkia leo kwenda Tunisia kwenye mashindano ya UNAF inayotarajiwa kuanza kesho (Februari 13) hadi 23, mwaka huu.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TWIGA STARS YAENDA TUNSIA KUSHIRIKI MICHUANO MAALUM YA WANAWAKE, UNAF ILIYOANDALIWA NA WENYEJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top