Son Heung-Min akifurahia baada ya kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 71 kufuatia Steven Bergwijn kufunga la kwanza dakika ya 63 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, February 03, 2020
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment