Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 71 na 90 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Southampton, mabao mengine yakifungwa na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 47 na Jordan Henderson dakika ya 60 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield leo. Ushindi huo, unaifanya Liverpool ifikishe pointi 73 katika mchezo wa 25 na kutanua uongozi wake sasa ikiizidi pointi 22 Manchester City inayofuatia kwa pointi zake 51 za mechi 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Yankees star Anthony Rizzo wears a Taylor Swift hoodie to their game on
same day as release of The Tortured Poets Department... after he previously
used her track as his walk-up song
-
Rizzo, the Yankees' first baseman, supported Swift's new album by wearing a
black hoodie with a collage of the singer's pictures before his team hosted
the...
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment