• HABARI MPYA

  Tuesday, February 04, 2020

  JKT TANZANIA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA COASTAL UNION YA TANGA LEO UHURU

  Kiungo wa Coastal Unon, Ayoub Semtawa (kushoto) akimtoka beki wa JKT Tanzania, Saad Akubabar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, JKT wakitangulia kwa bao la Adam Adam dakika ya 51 kabla ya Ayoub Lyanga kusawazishia Coastal kwa penalti dakika ya 61 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT TANZANIA YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA COASTAL UNION YA TANGA LEO UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top