Bondia Salim Mtango akipeana mkono na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Kajaliwa viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Mtango alizuru Bungeni leo kwa ajili ya pongezi baada ya kumshinda Suriya Tatakhun wa Thailand kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya saba Ijumaa iliyopita Uwanja wa Mkwakwani Jijini na kutwaa taji la UBO uzito wa Light. Wengine kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe na Naibu wake, Juliana Shonza na kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Ally Mwalimu
TyTy Washington Decommitted from Creighton Due to McDermott's 'Plantation' Comment
-
TyTy Washington is one of the most highly-sought after recruits in the 2021
recruiting cycle, but there was a time he was headed to Creighton. He told
<a...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment