Kiungo wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 39 katika mchezo wa Nusu Fainali ya Super Cup ya Hispania katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Valencia usiku wa jana Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah, Saudia Arabia. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Toni Kroos dakika ya 15 na Luka Modric dakika ya 65, wakati la Valencia lilifungwa na Dani Parejo kwa penalti dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England rally to 74-3 at lunch on day one of fourth Test in India
-
England managed to rally to 74-3 at lunch on day one of the fourth test
against India as Ben Stokes and Jonny Bairstow combined to steady the ship
after lo...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment