Viungo Wazanzibari wa Yanga SC, Abdulaziz Makame (kulia) na Feisal Salum (kushoto) wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi kesho dhidi ya Jamhuri kuanzia Saa 2:15 usiku hapo hapo Uwanja wa Amaan, ambao utarushwa LIVE Azam Sports 2
Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mchezo dhidi ya Jamhuri kesho
Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mchezo dhidi ya Jamhuri kesho
0 comments:
Post a Comment