• HABARI MPYA

    Thursday, January 09, 2020

    MAZOEZI YA SIMBA SC LEO KUJIANDAA NA MCHEZO WA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI DHIDI YA AZAM FC KESHO

    Mshambuliaji wa Simba, Meddi Kagere akimtoka kiungo Clatous Chama kwenye mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar leo kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi kesho dhidi ya Azam FC 
    Nahodha John Bocco akipiga shuti kwenye mazoezi leo Uwanja wa Amaan 
    Kiungo Hassan Dilunga akimiliki mpira katikati ya wenzake leo 
     Kiungo Said Ndemla akiondoka na mpira mazoezini leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAZOEZI YA SIMBA SC LEO KUJIANDAA NA MCHEZO WA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI DHIDI YA AZAM FC KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top