Wababe wa uzito juu duniani, Muingereza Tyson Fury (kulia) na Mmarekani Deontay Wilder (kushoto) watarudiana Februari 22 Jijini Las Vegas, Marekani baada ya kutoka droo kwenye pambano lao la kwanza Desemba 1, mwaka 2018 ukumbi wa Staples Center Jinini Los Angeles. Mshindi atapambana na Anthony Joshua katika pambano kubwa zaidi la kumsaka bingwa wa dunia wa uzito wa juu asiyepingika PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wheatley reacts to historic 'honour'
-
See what 18-year-old Ethan said, after becoming the club's 250th player to
graduate from the Academy.
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment