• HABARI MPYA

    Tuesday, January 07, 2020

    ARSENAL YAICHAPA LEEDS UNITED 1-0 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA

    Reiss Nelson akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 55 ikiwalaza Leeds United 1-0 kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England jana Uwanja wa Emirates 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA LEEDS UNITED 1-0 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top