Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris St Germain bao la tatu dakika ya 46 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Galatasaray kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Mauro Icardi dakika ya 32, Pablo Sarabia dakika ya 35, Kylian Mbappe dakika ya 63 na Edinson Cavani kwa penalti dakika ya 84. PSG imeongoza kundi kwa pointi zake 16, ikifuatiwa na Real Madrid iliyomaliza na pointi 11 baada ya kuifunga Club Brugge 3-1 na jana na zote zinakwenda 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tottenham Hotspur 1-3 Man Utd: Edinson Cavani scores as visitors fight back
-
Manchester United come from behind to win at Tottenham with Edinson Cavani
scoring a superb diving header.
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment