• HABARI MPYA

    Sunday, November 03, 2019

    TANZANIA STARS ILIYOSHIRIKI KOMBE LA WASHINDI AFRIKA MWAKA 1999

    Kikosi cha Tanzania Stars kabla ya mchezo wa marudiano Raundi ya kwanza Kombe la Washindi Afrika dhidi ya wenyeji, Simba FC Uwanja wa Nakivubo mjini Kampala, Uganda.   Simba FC ilishinda 2-1 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya sare ya 1-1 Dar es Salaam kwenye mchezo wa kwanza. 
    Kutoka kulia waliosimama ni Edward Chumila, Monja Liseki, George Lucas, Issa Manofu, Mliberia, William Fahnbullah na Yussuf Macho. Waliopiga magoti kutoka kulia ni Thabit Bushako, Mtwa Kihwelo, Abubakar Kombo, Sanifu Lazaro na Twaha Hamidu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TANZANIA STARS ILIYOSHIRIKI KOMBE LA WASHINDI AFRIKA MWAKA 1999 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top