Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la pili dakika ya 86 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Luxembourg kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Josy Barthel mjini Luxembourg, hilo likiwa bao lake la 99 katika mechi za kimataifa. Bao la kwanza la Ureno lilifungwa na Bruno Fernandes dakika ya 39 na kwa ushindi huo mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 17 katika mchezo wa nane wakiendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya Ukraine yenye pointi 20, hivyo wote kufuzu fainali zijazo za michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Americans in Rwanda welcome Biden presidency with optimism
-
Americans living in Rwanda say they are optimistic the new administration
of President Joe Biden will ensure good relations with Africa and the rest
of t...
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment