Mshambuliaji kinda Mbrazil, Rodrygo Silva de Goes akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao matatu dakika ya nne, saba na 90 na ushei katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Galatasaray kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 14, Karim Benzema dakika ya 45 na 81 na kwa ushindi huo, timu ya kocha Mfaransa Zinadine Zidane inafikisha pointi saba, ikiendelea kushika nafasi ya pili ikizidiwa pointi tano na vinara Paris Saint-Germain baada ya timu zote kucheza mechi nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Imbuto Foundation to mark 20 years of impacting lives in Rwanda
-
The Imbuto Foundation is set to celebrate 20 years of existence, impacting
lives in Rwanda.
Founded in 2001 by the First Lady Jeanette Kagame, the founda...
3 minutes ago
0 comments:
Post a Comment