• HABARI MPYA

    Friday, November 08, 2019

    MAN UNITED YASHINDA 3-0 NA KUSONGA MBELE EUROPA LEAGUE

    Wachezaji wa Manchester United wakipongezana baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Partizan Belgrade mabao ya Mason Greenwood dakika ya 21, Anthony Martial dakika ya 33 na Marcus Rashford dakika ya 49 kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Ushindi huo unaifaanya Man United ifikishe poniti 10 katika mchezo wa nne na kendelea kuongoza kundi hilo ikiizidi AZ pointi mbili huku ikijihakikishia kuingia hatua ya mtoano ya micbuano hiyo 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YASHINDA 3-0 NA KUSONGA MBELE EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

    PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

    Scroll to Top