Mshambuliaji Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia England mabao matatu dakika za 18, 24 na 37 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Montenegro usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2020. Mabao mengine ya Three Lions katika mchezo wake wa 1,000 wa kimataifa yalifungwa na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 11, Marcus Rashford dakika ya 30, Aleksandar Sofranac aliyejifunga dakika ya 66 na Tammy Abraham dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Frank Lampard WILL be sacked if he cannot get Chelsea back in race for top four as doubts emerge
-
As Sportsmail revealed on January 5, the Blues do not want to make any snap
decisions over the future of their club legend despite a dreadful run that
has ...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment