• HABARI MPYA

    Saturday, November 09, 2019

    CHELSEA YASHINDA MECHI YA SITA MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND

    Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 52 kabla ya  Christian Pulisic kufunga la pili dakika ya 79 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace huo ukiwa ni ushindi wa sita mfululizo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YASHINDA MECHI YA SITA MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top