Reece James akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha dakika ya 74 ikitoa sare ya 4-4 na Ajax Uwanja wa Stamford Bridge mjini London katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Jorginho mawili yote kwa penalti dakika ya nne nan 71 na Cesar Azpilicueta dakika ya 63, wakati ya Ajax yalifungwa na Tammy Abraham aliyejifunga dakika ya pili, Quincy Promes dakika ya 20, Kepa Arrizabalaga aliyejifunga baada ya kubabatizwa na mpira uliopigwa na Hakim Ziyech dakika ya 35 na Donny van de Beek dakika ya 55. Hata hivyo, refa Mtaliano Gianluca Rocchi alikataa bao la The Blues lililofungwa na Cesar Azpilicueta baadaye PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rangers 3-0 St Mirren: Steven Gerrard's side are now just ONE POINT from the Scottish title
-
GRAEME CROSER AT IBROX: It's now close enough to touch. From the way
Gerrard's players celebrated, there was a public acknowledgment that ten
years of pain...
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment