• HABARI MPYA

    Saturday, October 12, 2019

    UFARANSA YAICHAPA ICELAND 1-0 MECHI YA KUFUZU EURO 2020

    MSHAMBULIAJI Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao pekee kwa penalti dakika ya 66 katika ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Laugardalsvollur mjini Reykjavík 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UFARANSA YAICHAPA ICELAND 1-0 MECHI YA KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top