• HABARI MPYA

    Friday, October 11, 2019

    TAIFA STARS TAYARI WAPO RWANDA KWA AJILI YA MECHI NA AMAVUBI JUMANNE RWANDA

    Kiungo mshambuliaji wa Difaa Hassan El Jadidi ya Morocco, Simon Msuva (kulia) akiwa na wachezaji wa Taifa Stars kwenye ndege kwa safari ya Kigali, nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Amavubi Jumatatu
    Kulia ni Kocha Msaidizi, Suleiman Matola na kushoto kiungo Frank Domayo
    Hapa ni baada ya timu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS TAYARI WAPO RWANDA KWA AJILI YA MECHI NA AMAVUBI JUMANNE RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top