Serge Gnabry akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza dakika ya 15 katika sare ya 2-2 na Argentina usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao la pili la Ujerumani lilifungwa na Kai Havertz dakika ya 22, wakati mabao ya Argentina yamefungwa na Lucas Alario dakika ya 66 na Lucas Ocampos dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rangers 3-0 St Mirren: Steven Gerrard's side are now just ONE POINT from the Scottish title
-
GRAEME CROSER AT IBROX: It's now close enough to touch. From the way
Gerrard's players celebrated, there was a public acknowledgment that ten
years of pain...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment